MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

FAIDA 10 ZA KULA MBOGA ZA MAJANI


1. Vitamini kwa wingi

2 . Madini kwa wingi

3. Hutibu figo


4. Mboga za majani zinasaidia kukinga mwili kwa magonjwa mbalimbali
5. Mboga za majani pia husadia kupunguza, kurekebisha na kuweka uzito sawa.

6. Mboga za majani zina mafuta kidogo sana. Mafuta yake huyeyushwa vizuri na joto la mwili kuliko mafuta yatokanayo na vitoweo mfano nyama.
7. Zinaongeza maji kidogo kidogo mwilini kwa sababu mboga za majani zina madini ya sodium kwa wingi.

8.Hutibu minyoo.

9.Huongeza chembe chembe nyekundu za damu na kusafisha damu

10. hutibu maumivu ya mgongo
325fc44ddda0ea6d38b033d46d9acbe6bb554d0b