RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MADEREVA WALIOTEKWA CONGO NA WAASI WAWASILI NCHINI


Mmoja wa ndugu akilia baada ya kumuona mtoto wake ambaye alikuwa miongoni mwa madereva waliotekwa na waasi wa Maimai.

Mmoja wa madereva aliyetekwa akisalimiana na mkewe na mama yake mzazi.Dereva aliyetekwa akisalimiana na rafiki, ndugu na jamaa zake baada ya kuwasili nchini.Mmoja wa madereva aliyetekwa akilia kwa uchungu baada ya kukutana na ndugu zake.Baadhi ya madereva wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zao.Madereva na makondakta wao wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Saalam.Baadhi ya ndugu wakitoa machozi baada ya kuwaona ndugu zao waliotekwa na waasi wa Maimai kabla ya kukombolewa na vikosi vya wanajeshi wa Congo.