MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

TAARIFA YA KIKOSI CHA ZIMA MOTO BAADA YA SHULE KUUNGUA MWANZA

mashule kuungua zimeendelea na  September 26 2016 shule ya sekondari Mkolani iliyopo Nyegezi Mwanza imeungua moto, na chanzo kinachosemekama kuwa ni itilafu ya umeme, taarifa imetolewa kuwa hakuna madhara makubwa yaliotokea zaidi ya vitu vya wanafunzi kuungua moto.

Millardayo.com na AyoTV imeweza kumpata kamanda kikosi cha zima moto wa mjini Mwanza, Andrew James Mbate na ameongea haya kuhusu tukio hilo la moto kutokea shuleni hapo

>>>’Asubuhi ya jana tulipata mwito wa tukio la moto wa shule ya sekondari ya Mkolani na tulifika katika tukio lakini tulipofika pale tulikuta tayari walimu na wanafunzi’…