MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

VIDEO: MASHARTI WALIYOPEWA WAKURUGENZI WAPYA WA RAIS MAGUFULI

September 13 2016 zoezi la kuapishwa kwa wakurugenzi 16 walioteuliwa na Rais John pome Magufuli ulifanyika katika ofisi za TAMISEMI Dodoma mbele ya Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene pamoja na Waziri wa nchi ofisi ya Rais utumishi na utawala bora Angellah Kairuki.

Katika maelezo yake Waziri Kairuki hakuacha kuwapa maelekezo ya kuzingatia kwa Wakurugenzi hao ikiwa ni pamoja na kujiandikisha taarifa zao kamili ikiwemo mali wanazomiliki. Unaweza kumsikiliza Waziri Kairuki kwenye hii video hapa chini…