RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ANGALIA PICHA ZA SHABACH PRAISE ILIVYO HAPPEN KATIKA KANISA LA FPCT KIMAHAMA ARUSHA MJINI





Washirika walivyo hudhuria ibada ya Shabach praise katika kanisa la FPCT Kimahama



Watangazaji wa Habari Maalum Fm kutoka (kushoto) Merry Singu (Katikati) Editha Mloli na (Kulia) ni Debora Mwita.



Moja ya waimabaji wa Shabach Praise kutoka Rhema Worship Team.



Vaileth Methew na baadhi ya waamini waliofika katika Shabash Praise.



David Vicent Kiongozi wa Rhema Worship Team Katika Shabach Praise.



Joff Mulenga Mtangazaji wa Kipindi cha. Praise Time ya Habari maalum fm