Select Menu

News

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » MAAGIZO YA RAIS WA NIGERIA KUHUSU KUPIGWA MNADA NDEGE ZA RAIS


Sanga Rulea 12:11 AM 0

October 5, 2016 Nakusogezea hii kutoka Nigeria mtu wangu. Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametoa agizo kwa mamlaka ya usafirishaji nchini Nigeria kuzipiga mnada ndege mbili zinazotumika na Rais wa nchi hiyo ikiwa ni sehemu ya kupunguza matumizi mabaya ya pesa za Umma na ubadhirifu serikalini.


Kwa mujibu wa shirika la habari AFP limezungumza na msemaji wa Rais wa Nigeria, Garba Shehu, ambaye amesema ndege hizo mbili kati ya 10 zinazotumiwa na rais wa nchi hiyo zitauzwa kama sehemu ya kubana matumizi yasiyokuwa na ulazima.

Serikali ya Nigeria imeweka tangazo magazetini kwamba inauza ndege hizo mbili, moja ikiwa ni aina ya Falcon 7X na nyingine ni Hawker 4000.

Taarifa ya msemaji wa Rais inasema Buhari mwenyewe ndiye aliyeidhinisha kuuzwa kwa ndege hizo huku akitoa agizo kuwa baadhi ya ndege nyingine za rais zikabidhiwe kwa jeshi la anga la nchi hiyo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS