RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAJESHI 10 YENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI

Haya ndiyo majeshi 10 yenye nguvu zaidi duniani. Nguvu ya kiuchumi, vifaa na idadi ya wafanyakazi wake. Haya ndiyo majeshi yanayotisha zaidi duniani kwasasa. Afrika hatumo kwenye orodha hii. Orodha hii inaweza kubadilika kulingana na wakati na mapinduzi ya sayansi na tenkolojia.

BRAZIL (10).

Bajeti ya jeshi lao kwa mwaka ni dola za Kimarekani bilioni 31,576,000,000.

Wanajeshi walio kazini (active military personal) wapo 371,199.

Ndege za kivita 822.

Meli za Kivita 106.

ITALIA (9).

Bajeti ya jeshi lao kwa mwaka ni dola za Kimarekani 31,946,000,000.

Wanajeshi walio kazini (active military personal) wapo 293,202.

Ndege za kivita 770.

Meli za Kivita 179.

KOREA KUSINI (8).

Bajeti ya jeshi lao kwa mwaka ni dola za Kimarekani 28,280,000,000.

Wanajeshi walio kazini (active military personal) wapo 653,000.

Ndege za kivita 871.

Meli za Kivita 190.

UJERUMANI (7)

Bajeti ya jeshi lao kwa mwaka ni dola za Kimarekani 43,478,000,000.

Wanajeshi walio kazini (active military personal) wapo 148,996.

Ndege za kivita 925.

Meli za Kivita 67.

UFARANSA (6).

Bajeti ya jeshi lao kwa mwaka ni dola za Kimarekani 58,244,000,000.

Wanajeshi walio kazini (active military personal) wapo 362,485.

Ndege za Kivita 544.

Meli za Kivita 180.

UINGEREZA (5).

Bajeti ya jeshi lao kwa mwaka ni dola za Kimarekani 57,875,170,000.

Wanajeshi walio kazini (active military personal) wapo 224,500.

Ndege za kivita 1,412.

Meli za Kivita 77.


INDIA (4).

Bajeti ya jeshi lao kwa mwaka ni dola za Kimarekani 44,282,000,000.

Wanajeshi walio kazini (active military personal) wapo1,325,000.

Ndege za kivita 1,962.

Meli za Kivita 170.

CHINA (3).

Bajeti ya jeshi lao kwa mwaka ni dola za Kimarekani 129,272,000,000.

Wanajeshi walio kazini (active military personal) wapo1,325,000.

Ndege za kivita 5,048.

Meli za Kivita 972.

URUSI (2).

Bajeti ya jeshi lao kwa mwaka ni dola za Kimarekani 64,000,000,000.

Wanajeshi walio kazini (active military personal) wapo1,325,000.

Ndege za kivita 4,498.

Meli za Kivita 224.

MAREKANI (1).

Bajeti ya jeshi lao kwa mwaka ni dola za Kimarekani 689,591,000,000.

Wanajeshi walio kazini (active military personal) wapo 1,477,896.

Ndege za kivita 15,293.

Meli za Kivita 290.

Orodha hii inaweza kubadilika kulingana na wakati, nchi nyingi duniani zinazidi kuwekeza kwenye majeshi yao.