RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MANENO YA KUKUJENGA KUTOKA KWA MTUMISHI WA MUNGU DAVID ROBERT MWAMSOJO

Mtaji wa maskini ni Uaminifu wake alafu ndio elimu, ujuzi (weledi) na mambo kama hayo. Kuna msemo mtaji maskini ni nguvu zake mwenyewe sina hakika sanaa juu ya huu usemi maana wengine wametumia nguvu kunyang'anya hata kutoboa macho mwanadamu mwenzake. 

Nimeona sanaa hata katika ulimwengu wa ajira watu wanahama kutoka kuajiri wenyewe weledi katika maeneo kadha mfano wahasibu wengi wameajiriwa wasio na taaluma hiyo bali wanakuwa trained based on uaminifu wao