MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

NJIA 6 ZITAKAZO KUSAIDIA KUVUTIA WATEJA WENGI ZAIDI KWENYE BIASHARA YAKO.Haya ni baadhi ya mambo ambayo ukiyapokea na kuyashika yatakusadia kuvutia wateja wengi zaidi kwenye biashara yako.

1. Lazima uwe mkarimu kwa wateja wako.
2. Uwe mwaminifu.
3. Jitolee kikamirifu kwenye biashara yako.
4. Ushawishi, uwe mtu mwenye njia, mbinu na maneno mazuri ambayo yatamfanya mteja kununua bidhaa hata kama hakuwa na mpango wa kununua bidhaa hiyo.
5. Kuwa Mchangamfu, Changamkia wateja wako na uwakaribishe kwa tabasamu na uso wenye furaha.
6. Uzoefu, Kabla haujanza ama kufungua biashara yoyote, hakikisha unakuwa na uzoefu wakutosha juu ya biashara hiyo.

Nimepata fursa ya kuweka njia 6 tu hapa juu, na wewe Comment hapo chini mbinu nyingine unazozifahamu. Asante.