RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PICHA 6: RAIS MAGUFULI ALIVYOWASILI NAIROBI NCHINI KENYA


Leo October 31 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliondoka nchini kuelekea Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini humo kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta.

Rais Magufuli amewasili Nairobi kenya kwa ziara hiyo na amelakiwa na mwenyeji wake Rais uhuru kenyatta.