Select Menu

News

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

USIKOSE IJUMAA HII MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

SARAH KUZINDUA ALBAM YAKE JUMAPILI HII

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » RAIS JPM AONGOZA WAOMBOLEZAJI, VIONGOZI KUMUAGA MASABURI DAR


Sanga Rulea 12:34 AM 0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na mkewe wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar leo.


Zoezi la kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Meya wa Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi likiendelea katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar leo. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi wengine wakiwa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar leo wakati wa kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Meya wa Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi.

Sehemu ya wafiwa wakati wa kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Meya wa Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar leo.

Rais Dk. John Pombe Magufuli leo ameongoza waombolezaji na viongozi wa serikali na vyama vya siasa kuuaga mwili wa aliyekuwa Meya Mstaafu wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar.

Wakati akitoa salamu zake, Rais Magufuli amesema kuwa alimfahamu Dkt. Masaburi kama rafiki yake, ndugu yake, na mpiganaji mzuri wa Chama cha Mapinduzi, na kwamba ni mtu aliyefanya makubwa katika Jiji la Dar es Salaam.

Viongozi walioungana na Rais Magufuli katika kumuaga Masaburi ni pamoja na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Edward Lowassa, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Meya wa sasa wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS