MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

REBECCA MABALA: TEGEMEO
Kutoka Dar es salaam Tanzania mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Rebecca Mabala leo kupitia tovuti ya gospomedia.com anakukaribisha kuitazama video ya wimbo wake mpya inayoitwa TEGEMEO video hii imeongozwa na director Jackson Joackim kutoka Blessing Studio na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Sam Babylon kutoka studio ya Almas Records, hii ni video yake ya kwanza toka ameachia nyimbo zake kadhaa kama vile Uweponi Mwako, Pokea Sifa na Utukufu, Hossana na huu wa Tegemeo ambao bado unaendelea kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomdia.com na vituo mbalimbali vya Radio hapa Tanzania.

GospoMedia.com tumekuwekea video ya wimbo huu wa TEGEMEO uweze kuitazama, kuupakua(kudownload) na kuusikiliza pia kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kumpa sapoti mwimbaji Rebecca Mabala na kupitia wimbo huu naamini utakwenda kuwa baraka na kukuinua kiroho na kimwili kwa kila utakapokuwa unausikiliza wimbo huu. Barikiwa!!

DOWNLOAD

kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji RebeccaMabala kupitia

Simu namba/WhatsApp: +255715926230
Facebook: rebecca mabala
Instagram: @rebeccamabala
Twitter: rebecca mabala
YouTube: RebeccaMabala Official