Select Menu

News

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » ASKOFU MKUU WA KANISA LA PENTECOSTE GOSPEL CHURCH AWATAKA WACHUNGAJI KUWA WAAMINIFU.


Sanga Rulea 10:18 PM 0


ASKOFU MKUU WA PGC AKIMIMINIWA MAFUTA TAYARI KWA KAZI YA BWANA.ASKOFU MKUU WA PGC KULIA AKIWA NA ASKOFU MKUU WA EAST AFRIKA PAMOJA NA MAMA ASKOFU ALPHONCE NKANGA.


Baadhi ya wageni waalikwa wakishuhudia tukio likiendelea la kusimikwa kwa askofu NKHANGABaadhi ya waumini wakimpongeza mama askofu mkuu wa kanisa la PGC Tanzania.NA denis nyali iringa.


Askofu mkuu wa kanisa la PENTECOSTE GOSPEL CHURCH TANZANIA ALPHONCE KHANGA amewataka wachungaji kuwa waaminifu katika kazi ya MUNGU ili kuitenda kazi yake kwa ufasaha .
Akizungumza mara baada ya kusimikwa kuwa askofu mkuu wa Tanzania wa kanisa hilo amesema kwa sasa watumishi wengi wamekuwa si waaminifu katika kuitenda ya mungu hali inayopelekea wote kuonekana kuwa hivyo na kushindwa kuifanya kazi ya mungu.

NKHANGA ameongeza kuwa si jambo la hekima kwa wachungaji kuandikwa na kuripotiwa na vyombo vya habari kwa kwa matendo ambayo hayambariki mungu bali waandikwe kwa kuihubiri injili na kuokoa roho za watu zilizopotea.

Kwa upande wake askofu mkuu wa kanisa hilo afrika mashariki ZAKHARIA KALANJE amewasihii wachungaji kujiendeleza kimasomo ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya dunia kwa kuwa mungu si wa watu wapumbavu.

Tukio hilo la kusimikwa askofu mkuu wa Tanzania limefanyika katika ukumbi wa new life in Christ wilolesi na kuhudhuria na viongozi wa dini ,vyama na serikali.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS