RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DAKTARI FEKI ALIYEFANYA UPASUAJI WAGONJWA 9 NA KUFARIKI MMOJA, APEWA OFA YA KUJIENDELEZA KIELIMU


KENYA: Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza daktari feki aliyekamatwa nchini humo aruhusiwe kujiendeleza na masomo ya udaktari badala ya kutumikia kifungo gerezani.

Kauli hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa daktari huyo feki alifanikiwa kufanya upasuaji kwa wagojwa tisa ambao kati ya yao wanane walipona na mmoja ambae alikuwa mjamzito ndiye aliyepoteza maisha huku akifanikiwa kumuokoa mtoto aliyekuwemo tumboni mwa mjamzito huyo.