MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

HABARI : MCHUNGAJI JOHN HAGEE AMESEMA , “MSAADA KWA ISRAEL” ILIKUWA NI AGENDA YA SIRI YA USHINDI WA TRUM


Mchungaji John Hagee Amesema , Chama cha Republican Kuiunga Mkono Taifa La Israel Lilikua Na Matokeo Ya Moja Kwa Moja Ya Ushindi Wa Chama Hicho.

Akizungumza wakati wa mahojiano wiki iliyopita na kituo cha televisheni cha Newsmax Joe Pagliarulo,Mchungaji John Hagee wa Kanisa la Cornerstone liliopo San Antonio, Texas ,wakati akitoa jibu la suala la kwanza : kwanini Bw Donald Trump alishinda uchaguzi wa Novemba 8,2016?

“Kuliunga mkono taifa la Israel ,ilikua ni agenda ya siri ambayo iliwafanya watumishi wa Mungu kukishusha chama cha Decomcratic na kukiunga mkono chama cha Republican kilichokua kikiongowa na makamo wa Raisi mteule Bw Mike Pence , ambae aliitembelea Israel pamoja na CUFI miaka miwili iliyopita, Pia Trump kuweka msimamo wake wa kuiunga mkono Israel katika sehemu kubwa ya kampeni zake.

Pia suala la utoaji wa mimba ni sababu ilichokiangusha chama cha Democratic , lakini suala la Israel naamni ni agenda kubwa iliyo wasukuma watu kupiga kura kama vile hawakuwahi kupiga kura.

Aliendelea kusema kuwa naamini Mungu kutoka juu mbingui alikua anaangali uchaguzi huu.

Upepo wa wa mbinguni uliposhika moto nakumfanya yeye aliyemlinzi wa Israel asiye sinzia na wala asiye lala kuwaongoza watumishi wa Mungu kutoka nje na kwennda kupiga kura na wakapiga kura kwa wengi ilikubadilisha Marekani.”

SOURCE: Charisma News