VIDEO: UPENDO NKONE ALIVYOIMBA KWENYE UZINDUZI WA ALBUM YA IKUPA MWAMBENJA, MKAPA HALL MBEYAShalom,Leo GospoMedia.Com kupitia Gospo Tv tumekuwekea video ya mwimbaji Upendo Nkone alivyoimba kwenye uzinduzi wa album ya Adonai ya mwmbaji wa nyimbo za injili kutokea mkoa wa Mbeya Ikupa Mwambeja ,siku ya Jumapili Novemba 06 katika ukumbi wa Mkapa hall uliopo mkoani Mbeya.