RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

17.12.2016: HARUSI YA DAVID ROBERT MWAMSOJO NA NEEMA S. MAKAYA WAKILISHANA KEKI

WAHUSIKA: Bwana Harusi: David Robert Mwamsojo na Bibi Harusi: Neema S. Makaya

UKUMBI: Coral Beach Hotel Masakaki-Dar es Salaam - Tanzania.

TAREHE: 12.Desemba.2016

MUDA: Ilianza saa 10 Alasiri - Katika bustan ya Best West Hotel na saa 12 jioni hadi saa 3 usiku ndani ya Best West Hotel Masaki-Dar.

WASIMAMIZI: MH. Godwin Gondwe na mke wake

MCHUNGAJI ALIYEFUNGISHA NDOA: Mchungaji kiongozi wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" Noah Lukumay.

PICHA HIZI ZINAHUSU: David Robert Mwamsojo na make wake Neema S. Makaya wakilisha keki

MPIGA PICHA: Rumafrica For All Nations +255 625 520 2715

 Wazazi wa upande wa Neema S. Makaya
 baba na mama wa David Robert Mwamsojo