MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

MZEE JOHN KAMBILI ALIVYOPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE, MAKABURI YA KINONDONI – DANdugu wa marehemu wakiaga mwili wa Mzee John Auckland Kambili kwenye Kanisa la Anglikana, Mwananyamara, Dar es Salaam.
Mtoto wa marehemu, John Kambili ambaye pia ni Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili (katikati) akionekana mwenye hudhuni wakati wa ibaba ya kuaga mwili wa baba yake. kushoto ni Mwandishi wa Gazeti la Championi, Willbert Morland.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo akiaga mwili wa marehemu Mzee Kambili.
Mhariri Kiongozi wa Gazeti la Championi, Saleh Ally (aliyeko mbele) akiaga mwili wa marehemu.
Mhariri wa Gazeti la Championi Jumatau, Ezekiel Kitula ambaye pia ni mfanyakazi mwenzake na Elius Kambili akiaga mwili.Mhariri wa Gazeti la Championi Jumatano, Philipo Nkini (wa pili) akiaga mwili wa marehemu.
Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Kampuni ya Global Publishers, Oscar Ndauka akiaga mwili wa marehemu. 


Eric Shigongo akimfariji Elius Kambili.Meneja wa Kampuni ya Global Publishers, Abdallah Mrisho akimpa pole Elius Kambili.

 

 Mwandishi wa Gazeti la Championi, Sweetbert Lukonge akimpa pole elius Kambili.

Saleh Ally akimpa pole Elius Kambili.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers wakimpa pole mfanyakazi mwenzao, Elius Kambili aliyefiwa na baba yake mzazi.Ndugu, jamaa na marafiki wakiaga mwili wa marehemu.Ibada ya kuaga mwili wa marehemu ikiendelea kanisani hapo.
Jeneza lenye mwili wa marehemu likifungwa tayari kwa safari ya kuelekea makaburini.
Jeneza likiingizwa kwenye gari ili kupelekwa makaburi ya Kinondoni kwa mazishi.
Shigongo akizungumza jambo na watoto wa marehemu.
Jeneza lenye mwili wa marehemu baada ya kuwasili kwenye makaburi ya Kinondoni.

Jeneza likishushwa ili ibada ya kuwasili eneo la makaburi.
Mchungaji wa Kanisa la Anglikana Mwananyamara akiongoza ibada ya mazishi.
Jeneza lenye mwili wa marehemu likishushwa kaburini.
Jeneza likiwa kaburini.
Elius Kambili akimsaidia mama yake ambaye ni mjane wa marehemu kuweka udongo kwenye kaburi la mumewe.
Shughuli ya kufukia kaburi la marehemu ikiendela.
Shigongo akiweka udongo kwenye kaburi.
Elius Kambuili akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu baba yake.
Abdallah Mrisho akiweka udongo kwenye kaburi.


Mwandishi wa Magazeti ya Global Publishers, Musa Mateja akifukia kaburi la marehemu.
Lukonge akiweka udongo kaburini.
Mjane wa marehemu akiweka shada kwenye kaburi la mumewe.
Mtoto mkubwa wa marehemu akiweka shada kwenye kaburi la baba yake.
Watoto wa marehemu wakiweka shada kwenye kaburi la baba yao.Elius Kambili na mkewe wakiweka shada kwenye kaburi la baba yao.
Picha ya pamoja ya familia ya Kambili kwenye kaburi la mzee wao. Mzee John Kambili lizaliwa mwaka 1941 na kufariki juzi Desemba 13, 2016.


PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL