MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

UPENDO JBRIDE ASHUSHA UWEPO WA MUNGU KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini Tanzania na nje ya Tanzania Upendo JBride siku ya Jumapili 26.11.2016 aliweza kushiriki ibada ya takatifu katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwa Bishop Dr. Gertrude Rwakatare. Watu wengi walibarikiwa sana na uimbaji wake hasa ule wimbo wa ZINDONGA. Hakika mwimbaji huyu ana upako wa aina yake pale tu apasavyo sauti yake yenye upako wa aina yake. Upendo JB mwezi uliopita 2016 aliweza kupokea tuzo mbili nchini Marekani kutokana na uimbaji wake kuwa na kibali mbele za Mungu na mbele za wanadam. Tunakukaribisha katika ibada ya Jumapili hii. Mungu akubariki sana. Ibada itaanza saa 3 asuuhi hadi saa 8 mchana..