RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: SHERIA ITAKAYOWALINDA WAPANGAJI WA NYUMBA INAKUJA

December 29 2016 Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi wakati akifungua semina juu ya jukumu la vyombo vya habari katika kutoa elimu ya sheria, kanuni na taratibu katika utawala wa ardhi amezungumzia mpango wa kuanzisha sheria itakayodhibiti madalali na wenye nyumba za kupangisha, Waziri Lukuvi amesema….


‘Leo hii hatushangai mwenye nyumba akiongeza kodi anavyotaka bila kuwa na vigezo na hakuna mtu wa kumdhibiti, haiwezekani, tunafikiri lazima tuwe na sheria ambayo itawalinda wapangaji’;-Waziri Lukuvi

‘Tunafikiri lazima tuwe na sheria zitakazodhibiti madalali na brokers ili kila mtanzania atakayetaka kufanya kazi hii ajue sifa na miiko yake iwekwe wazi ndani ya sheria’-Waziri Lukuvi