MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

01.01.2017: WAUMINI NA WATUMISHI WA MUNGU WALIVYOWAOMBEA WACHUNGAJI NA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE KATIKA MKESHA WA KUKARIBISHA MWAKA 2017 YAANI CROSS OVER MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Wazee wa kanisa na waumini wote waliofika katika mkesha wa kukaribisha mwaka 2017 yaani CrossOvers usiku wa Jumapili 01.01.2017 waliweza kuwaombea wachungaji wa Mlima wa Moto Mikocheni "B" akiwemo Bishop Dr. Gertrude Rwakatare. Waliweza kuwakabidhi tena kwa mwaka 2017 mikononi mwa Bwana ili waitende lazi sawasawa na mapenzi ya Mungu. Pia waliowaombea juu ya afya zao na familia zao kuimarika na kufanya kazi ya Bwana kwa bidii.