RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

NIMEKULETEA PICHA 6 ZA MAANDALIZI YA KUAPISHWA RAIS MUTEULE DONALD TRUMP



Maandalizi ya kuapishwa Rais mteule Donald Trump yakiendelea siku mbili zilizopita tayari kwa kuapishwa siku ya kesho Ijumaa Januari 20, 2017.

Mafundi wakiweka mambo sawa.

Wapiga picha za kuganda na video wakifanya maandaliza na majaribio ya picha na video zitkavyokua.

Ujenzi ukiendelea.