RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MWIMBAJI NGULI WA GOSPO STELLA JOEL AELEZA KWANINI ALIVAMIA OFISI YA ZAYHASH KIJITONYAMA NA YALIYOMKUTA SIKU HIYO


Stella Joel sio mgeni kabisa katika ulimwengu wa waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania,  yeye ni mkongwe na ni moja ya wa waimbaji wa kwaza wa  nyimbo za Injili Tanzania na pia huwezi kuzungumzia Chama Cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) ukamuacha Stella Joel, kwani yeye ndiye muanzilishi wa chama hiki kilichosajiliwa kisheria serikalini kwaajili ya kutetea haki za wanamuziki wote Tanzania.

Leo tunataka usikie alichokiona katika duka la Mapazia na Mashuka la kisasa la Zayhash lililopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam Tanzania. Tumsikie sasa