RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO: RAIS MAGUFULI AMPIGIA SIMU NEEMA NA KUONGEA NAE KWENYE LOUD SPEAKER


Neema Mwita Wambura alimwagiwa maji moto na Mume wake baada tu ya mume huyo kukasirika kwasababu Neema alichuma Mahindi mabichi na kuyapika bila kibali cha mumewe na baada ya hapo majeraha yamekua yakimsumbua… 

Baada ya Rais Magufuli kumuona amefanya maamuzi ya kumpigia simu pamoja na kumuahidi matibabu pia unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini kuona akiongea na Rais kwa simu.