MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PROF.MAKAME M.MBARAWA AZINDUA RASMI HUDUMA YA KUHAMA KUTOKA MTANDAO MMOJA WA SIMU KWENDA MWINGINE BILA KUBADILI NAMBA YA SIMU YA KIGANJANI (MOBILE NUMBER PORTABILITY(MNP)


Mkurugenzi wa Idara ya sheria wa Vodacom Tanzania,Nina Pendael Eshun (katikati) pamoja na wadau wa sekta ya Mawasiliano wakifatilia kwa umakini hotuba ya Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame M.Mbarawa(hayupo pichani)wakati wa uzinduzi wa huduma ya kuhama kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani inayojulikana kitaalamu zaidi kama (Mobile Number Portability (MNP).Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jana jijini Dar es Salaam.


. Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano, Prof.Makame M.Mbarawa akiongea na wadau mbalimbali wa Masuala ya Mawasiliano wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kuhama kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani inayojulikana kitaalamu kama (Mobile Number Portability(MNP),Hafla hiyo ilifanyika kwenye ukumbi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano, Prof.Makame M.Mbarawa(kushoto)akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Idara ya sheria wa Vodacom Tanzania,Nina Pendael Eshun(kulia) pamoja na wadau wa masuala ya mawasiliano, mara baada ya Uzinduzi wa huduma ya kuhama kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani inayojulikana kitaalamu zaidi kama (Mobile Number Portability (MNP).Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame M.Mbarawa akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wanaotoa huduma za mawasiliano za simu za mkononi,Watatu kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya sheria wa Vodacom Tanzania,Nina Pendael Eshun,Mara baada ya Waziri huyo kuzindua rasmi huduma ya kuhama kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani inayojulikana kitaalamu zaidi kama (Mobile Number Portability (MNP).Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini Dar es Salaam.