TANZIA: MBUNGE DKT. ELLY MACHA WA CHADEMA AFARIKI DUNIA on March 31, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mbunge wa Viti Maalum wa CHADEMA, Dkt. Elly Marko Macha amefariki dunia leo katika Hospitali ya New Cross Uingereza alikokuwa akitibiwa. Macha aliyekuwa mlemavu wa macho amefariki akiwa na umri wa miaka 55 (1962-2017).