RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TAZAMA VIDEO | SIKILIZA & DOWNLOAD MUSIC AUDIO: JOEL LWAGA-AMENIFANYIA AMANI(MUSIC COVER)



Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili hasa kwa muziki wa jukwaani (Live) akijulikana kwa jina la Joel Lwaga video ya wimbo huu inaitwa Amenifanyia Amani ikiwa ni Cover ya wimbo wa muimbaji Paul Clement uliofanya vyema mwaka 2016 kupitia radio, tv na blogs mbalimbali za muziki wa Injili video hii imeongozwa na director Adam wa pili kutoka Tanzania.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Amenifanyia Amani Cover kutoka kwa muimbaji Joel Lwaga na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!