RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

LIVE: SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA MUUNGANO – DODOMA


Sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibarzinafanyika leo April 26, 2017 mjini Dodoma ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.

Tanganyika na Zanzibar ziliungana April 26, 1964 chini ya hayati Baba wa Taifa, Mwalim Julius Nyerere na hayati Sheikh Abeid Karume.

Unaweza kufuatilia LIVE kwa kubonyeza play hapa chini…