RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MATUKIO KATIKA PICHA YA HARUSI YA MADAM FROLA NA MUME WAKE DAVID KUSEKWA


Baada ya sekeseke ama vuta ni kuvute kuhusu ndoa ya pili kwa mwanadada Flora, masaa machache tukio hilo la kihistoria lililowasisimua wengi lilitmia na kwanzia sasa David Kusekwa na Bibie Flora Kusekwa ni mume na mke halali. harusi imefanyika siku ya Jumapili 30.04.2017 jijini Mwanza.

Ndoa hiyo iliyofungwa jijini Mwanza huku ikisindikizwa na uzinduzi wa albamu ya wawili hawa ilifungwa bustanini, na pichani ni ndiye Mchungaji aliyefungisha ndoa hii (jina halijapatikana). TaYari wawili hawa wamekwisha ingia mapumzikoni (honeymoon).

Tazama baadhi ya picha za harusi hii kama zilivyotufikia.
Flora Kusekwa na mum wake David Kusekwa


















David Kusekwa akitoa shela kwa mara ya kwanza umtazama mkewe Flora