Select Menu

News

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» » » Video: Mtoto Itham Mwenye Kipaji cha Kipekee Atembelea Global Publishers


Sanga Rulea 3:15 PM 0
Mhariri Mtendaji Saleh Ally (kushoto), akiwa na baba Itham na Itham mwenyewe wakiingia Jumba la Habari Tanzania Global Publishers.


ITHAM Mahfudh mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu ambaye ana uwezo wa kuhifadhi, kueleza na kujibu mambo mbalimbali anayoulizwa, leo ametembelea ofisi za Global Publishers Ltd akiwa na wazazi wake.


…akimsalimia Mkurugenzi wa Global Publishers Eric Shigongo.

Mtoto huyo ambaye ni mkazi wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na aliyekuwa amefuatana na baba na mama yake aliyekuwa amembeba mdogo wa kiume wa Itham, alionyesha umahiri wa ajabu mbele ya waandishi wa habari kwa kujibu maswali mbalimbali kwa usahihi yakiwemo ya kisiasa, kijamii na matukio mbalimbali yanayotokea nchini na nchi za nje.


Itham amepata umaarufu huo kupitia video yake iliyokuwa ikimuonyesha akitaja majina ya viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika na duniani, ikiwemo pia miji mikuu ya nchi mbalimbali.

Akizungumza katika hafla hiyo iliyochukua kiasi cha nusu saa, baba yake alisema kipaji cha mtoto wao kilianza kuonekana mara tu alipoanza kuongea.

…akifafanua jambo katika simu ya mhariri mtengaji Saleh Ally


…akiwa na Mkurugenzi wa Global Publishers Eric Shigongo.


…akiwa ndani ya studio za Global Tv na Wazazi wake.Mhariri mtendaji Saleh Ally akifatilia kwa umakini mtoto Itham akifafanua jambo.VIDEO HII HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS