MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

16.04.2017: VIJANA WA KANISA LA MLIMA VIJANAWA MOTO WATOA ZAWADI MBALIMBALI KWA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE NA WACHUBGAJI WA KANISA HILO

Vijana la Mlima wa Moto Mikocheni "B" walivyoweza kumzawadia Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kwa kuteuliwa kuwa mbunge na pia kumpongeza kurudi salama kutoka Afrika Kusini alikokuwa kwa muda wa zaidi ya wiki mbili. Pia vijana waliza kutoa zawadi mbalimbali kwa wachungaji na wazee wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"

Victor kwa niaba ya vijana (kulia) akitoa zawadi kwa Mh. Bishop Dr. Gertrude RwakatareMh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare akiweka vizuri zawadi yake kutoka kwa Vijana wa kanisani kwake

Mzee wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" Janeth Urasa akipokea zawadi kutoka vijana wa kanisa hilo