MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

30.04.2017: MH. BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE ALIVYOONGOZA MAOMBI KATIKA IBADA YA JUMAPILI YA TAMASHA LA MAOMBI

Ibada hii ilikuwa ni ya tofauti sana kutokana na ule uwepo wa Mungu uliokuwa umetanda kanisa zima. Watu wengi waliguswa na nguvu na baadhi yao  waletwa madhabahuni kwaajili ya kuondolewa roho chafu, mapepo, majini, balaa, nuksi na mambo mabaya yaliyokuwa yakiwasumbua na kujikuta wanaanguka kanisani wakati wa maombi.

Wewe ambaye hukufika siku ya Jumapili, tunakualika Jumapili hii Mlima wa Moto Mikocheni "B". Ibada itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 Mchana. Usafiri ni bure kabisa kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho au Mwenge kwenye mataa barabara ya Coca Cola. Mungu akusaidie ili Jumapili hii ukapokee Muujiza wako.