Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare siku ya Jumapili 26.06.2017 katika ibada ya maombi ya KUONDOA NJAA inayowakumba watu wengi iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B", aliweza kuwasimika tena wachungaji na baadhi ya viongozi wa vijana, kama wanavyoonekana katika picha.