MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

02.07.2017: BISHOP DUNSTAN MABOYA AFUNGUA RASMI SEMINA YA MID YEAR CROSS OVER 2017 MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Bishop Dunstan Maboya kutoka Arusha aliweza kufungua rasmi semina ya MID YEAR CROSS OVER 2017 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 02.07.2017. Semina hii ni ya siku 8 ambayo itakuwa inafanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"  kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 1 usiku na siku ya Jumapili 09.07.2017 semina  itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana na itakuwa ndio siku ya  kuhitimishwa.  Wahubiri wa semina hii ni Bishop Dr. Gertrude Rwakatare, Mch. daniel kalege kutoka Uganda na Bishop Dunstan Maboya. Ni semina ya kumshukuru Mungu kufikia miezi sita na kumkabidhi Mungu maisha yetu kwa miezi sita ijayo, pia kutakuwa na maombezi kwa watu wenye shida mbalimbali. USIKOSE
0