RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2018

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

16.07.2017: KASAKI SELEMAN AWABARIKI WANA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" KWA WIMBO WAKE MPYA

Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kupitia mtumishi wake Kasaki Seleman kutokana na upako aliouweka katika huduma yake ya uimbaji. Siku ya Jumapili 16.07.2017 katika ibada ya KUPELEKA MASHITAKA YETU KWA MUNGU iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" tuliona Mungu akishighulika na maisha ya watu kupitia wimbo mpya wa Kasaki Selemani. Nasi tunazidi kumuombea azidi kusonga mbele kwa kazi ya BWANA..

0