MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

ERICK BRIGHTON: USIOGOPE KUONEKANA WA TOFAUTI

MUNGU KWANZA.
USIOGOPE KUONEKANA WA TOFAUTI NI KAULI MBIU AMBAYO NIMEKUWA NIKIITUMIA KWENYE MAISHA YANGU,NA MARA ZOTE KILA NINAPOKUWA NAIFIKIRIA AKILINI MWANGU HUWA NAJIONA WATOFAUTI SANA KILA MAHALI MAANA NDIYO MAOMBI YANGU KWA MUNGU,SO KAMA WEWE HUJAWAHI KUOMBA ANZA LEO KUOMBA KUWA WATOFAUTI NA USIOGOPE KUWA WATOFAUTI KWASABABU NDIYO THAMANI(IDENTITY) YAKO INAKUZA THAMANI YAKO.TAMANI KILA SIKU KUFANYA MAISHA YAKO TOFAUTI NA KAWAIDA ULIVYOZOEA AU WALIVYOZOEA WENGINE,TAMANI KUMTAFUTA MUNGU TOFAUTI NA WENGINE,TAMANI KUISHI TOFAUTI WANAVYOISHI WENGINE,TAMANI KUABUDU TOFAUTI NA WENGINE,TAMANI KUAMUA TOFAUTI NA WENGINE,KARIBU KILA KITU UWE WA TOFAUTI MANA NDIYO SIFA KUU YA WATU WENGI WALIOFANIKIWA KIROHO NA KIMWILI HUWA NIWATOFAUTI.WANAFIKIRI TOFAUTI,WANAAMUA TOFAUTI,WANAFANYA TOFAUTI.ACHA KUISHI KWA MAZOEA.ITAMBUE THAMANI ILIYO NDANI YAKO NA UIKUZE MAANA MUNGU AMEKULETA KWA WAKATI TOFAUTI NA MWINGINE YEYOTE WHY MFANANE.ONGEZA IMANI NA WEWE AMINI HAYUPO WEWE MWINGINE KATIKA USO WA HII DUNIA HATA KAMA KUNA WATU WANAKUFANANISHA NAO LAKINI WEWE NIWATOFAUTI.ACHA KUISHI NDANI YA MTU MWINGINE UTAZIKOSA BARAKA ZA MUNGU ZILIZOKUSUDIWA KWAAJILI YAKO.JIAMINI WEWE KAMA MUNGU ANAVYOKUAMINI KUWA UTOFAUTI WAKO UNAWEZA KUKULETEA THAMANI.Ok bila Mungu hatuwezi kuwa tunavyotaka kuwa hongera kwa mliokoka,karibuni sana kwa Yesu vijana ambao hamjaokoka.Kwa Yesu kuna Amani.
0