RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Serikali ya Donald Trump yampeleka David Kafulila Marekani




Hivi karibuni aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila alisifiwa na President Magufuli kutokana na kuliibua sakata la Tegeta Escrow ambalo baadaye lilikuwa gumzo kubwa na kupelekea hata kufanywa uchunguzi na wahusika kufikishwa Mahakamani.
Jambo lingine kutoka kwa Kafulila ni kwamba amechaguliwa na nchi ya Marekani kufanya ziara ya mafunzo ya masuala ya uwazi na uwajibikaji kwa muda wa wiki tatu

Comments