MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

Waziri Mwakyembe baada ya kumaliza msiba wa mkewe Bi. Linah GeorgeIkiwa ni siku 11 zimepita tangu kutokea msiba wa mke wa Waziri wa Habari Dr. Harrison Mwakyembe, Bi Linah George, leo July 26, 2017 Waziri huyo ameongea na vyombo vya habari nyumbani kwake Kunduchi, Dar es Salaam.Waziri Mwakyembe ametoa shukrani zake kupitia vyombo vya habari, kwa wote walioshiriki kumfariji, kumtia moyo na walioshiriki katika mazishi ya mkewe Linah George Mwakyembe aliyefariki katika Hospitali ya Aga Khan akipatiwa matibabu.

0