RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Jionee barabara ya magari inayopita chini ya maji New York (+video)




Ukitembea kwenye nchi zilizoendelea sio ajabu kukutana na vitu vingi vya kiteknolojia ambavyo havipo Afrika, hii ni moja ya barabara za chini ya maji kwenye jiji la New York Marekani.

Unapita kwa gari chini ya maji kutoka upande mmoja kwenda mwingine, ni kama utoke Posta Dar es salaam kuvuka kwenda Kigamboni lakini kwa kupita chini ya maji….. bonyeza play hapa chini kujionea

Comments