RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MATUKIO KATIKA PPICHA YA SEMINA YA WANAWAKE YA KUPONYA MOYO WA MWANAMKE -DODOMA

Semina hii imeandaliwa na kanisa la Jehova Mercy Internationa Ministry linaloongozwa na Nabii Richard na Nabii Angel Richard. Semina hii imefanyika katika kanisa hilo mjini Swaswa Kona Dodoma. Ukitaka kujua zaidi kuhusu hii semina, angali video hapo chini.

Nabii Angel (kushoto) akifuatia mwimbaji wa nyimbo za Injili Neema Kasambale




 Nabii Angel Richard akifundisha
 Nabii Angel Richard


 Nabii Richard (kulia)

ANGALIA VIDEO HII KUJUA ZAIDI




Comments