RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

Neema Guillaine Mudosa atoa ya moyoni mahusiano yake na Yesu

Sioni aibu kumtangaza huyu YESU amekua mwema sana kwangu.
Yako mengi ambayo nikikaa mda mrefu kuyafikiria huwa naona yamenizidi mwenyewe siyawezi na kwa kua nimekataa kujipa presha ,nimekataa kukosa usingisi sababu ya kufikiria 
,nimesha muachia YESU AKASHUGULIKE na vyooooooote.
Nimekataa na sina tena huo mda wa kuwabeba watu moyoni
Ya nini nipate shida na Baba yangu yupo?
Mwanadamu atanitenda nini wakati pumzi nilio nayo sio yake?
Naongea na wewe ambaye hupati usingisi kwa sababu ya kufikiria hiki na kile,unawaza usiku na mchana.mweeeeee ACHA KABISA 
Mpendwa wangu UTAKUFA na mawazo na anae kufanya ukose usingizi ataendelea kuishi.jaribu kuona hio shida kua chini yako,ukiiweka juu yako Utakufa na mbingu hutaenda.
Nani kakwambia kwamba pombe inaweza punguka mawazo,anaye maliza mateso na kuponya majeraha na kumaliza maumivu ni YESU TU.Muachie yooooote hayo anayaweza.#WASHANGAZE

Comments