MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

SNOOP DOGG KUACHIA PROJEKTI YA KWANZA YA MUZIKI WA INJILI AKIWA NA FRED HAMMOND.


Snoop Dogg


Katika mahojiano na kituo kimoja cha radio kiitwacho Beats 1 Radio rapa huyo wa zamani katika ulimwengu wa muziki wa hip hop alitangaza kwamba ataiandaa albamu ya hiyo ya muziki injili mapema mwaka huu.

“Kwasasa ninaifanyia kazi albamu yangu ya muziki wa injili kwa kuwa mara zote imekuwa ni shauku ya moyo wangu,” alisema. 

“Sijawahi kuwa karibu na muziki huu kwa sababu mara zote nimekuwa nikifanya biashara zangu za muziki wa aina nyingine wa kidunia (HipHop gangsta) na kufanya jambo hili kwangu ninajisikia faraja kwakuwa ni kitu ambacho kilikuwa kwenye moyo wangu kwa kipindi kirefu mno.” Aliongeza rapa huyo.

SOURCE: Gospel Media
0