RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ELIZABETH NGAIZA AMPONGEZA CHRISTOPHER MUHANGIRA KUFUNGUA MILANGO YA DILI NJE YA TANZANIA

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania,  Elizabeth Mosholi Ngaiza amemshukuru sana mwimbaji mwenzake Christopher Muhangira kwa sapoti yake ya kimuziki. Na hivi ndivyo alivyoandika kwenye facebook akaunti yake, "Sina mashaka na mungu wangu, Christopher Mwahangila ni mmoja kati ya watu ambao wamenigusa na kunivusha mipaka ya nje ya nchi, leo hii ukimuongelea elizabeth ngaiza unaongelea international singer, naamini kwa unyenyekevu wako ipo siku utairithi mikoba hii"

Elizabeth Mosholi Ngaiza 





Comments