RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TETESI: TINA MZAVA KAVISHWA PETE YA UCHUMBA

Katika pitapita zangu nikakumbana na hizi picha kutoka kwenye akaunti ya mama Askofu Tumaini Njole akimpongeza mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania TINA MZAVA kwa hatua aliyofikia ya kuvishwa pete ya uchumba. Na hivi ndivyo alivyoandika mama Askofu Tumaini Njole, "Mdogo Wangu mwenye Tina Mzava.umenifanya nijisikie. Vizuri na ninazidi kusema na kuimba Wimbo huu Mungu wetu Anaonekana Mungu Wetu Anaonekana....Nikitazama mbele mbele Yangu kuzuri yani wakati natunga izi Nyimbo sikujua Kama ni unabii wa maisha yangu.. kweli sasa inatimia mbele kuzuri pia Mungu Anaonekana. Maana nimemuona kwangu.. sasa namuona kwako nazidi kukuombea safali yenu. Ifanikiwe muda WA kutoa mchango usisite pamoja Sana najivunia Sana wadogo zangu mlio. Pita mikononi mwangu Mungu awezi kutusahau. Amen" Rumafrica kila ikijaribu kumpigia simu Tina Mzava, simu yake iko busy. Endelea kufuatilia post zetu kujua zaidi.












Comments