RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UPENDO MWAKYEGULA KUFANYA TAMASHA MWANZA MWEZI DESEMBA 2017

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Tanzania na nje ya Tanzania baada ya kutoka Afrika Kusini sasa yuko nchini Tanzania na anategemea kufanya tamasha kubwa la Kinabii kwa njia ya uimbaji jijini Mwanza mwezi Desemba 2017. Endelea kufuatilia post zetu kujua zaidi



Comments