RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

03.12.2017: VIDEO: MHE. BISHOP DR. GERTRUDE ALIVYOWASIHI WAUMINI WA MAKANISA MBALIMBALI

Matukio katika picha ya uzinduzi wa kongamano la Shilo Tanzania 2017 siku ya Jumapili 03.12.2017 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwa Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare. Kongamano lilikuwa na wanenaji kutoka Kenya na Tanzania, na baadhi yao ni Bishop Dunstan Maboya, Mch. Kuria kutoka Kenye, Mch. Noah Lukumay, Mch. Elias Madoshi kutoka Shinyinga, Mch. Sylvanus Komba kutoka Dodoma, Mch. Simtomvu, Mch. Dickson, Mch, Mwaipyana, Mch. Francis Machichi, Mch. Stanley Nnko n.k. Siku ya Jumapili 10.12.2017 kongamano lilihitimishwa,

Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare akisalimiana na viongozi wa Kamati wa Shiloh


 











































 

xx

Comments