RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

24.12.2017: KWAYA YA JOYBRINGERS YASHANGAZA WENGI KWA UIMBAJI

Hakika tulibarikiwa sana na uimbaji kutoka kwaya ya Joybringers ya Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 24.12.2017 katika ibada ya maandalizi ya mkesha wa KRISMASI. Mungu wetu ni Mungu wa sifa, kwahiyo hufurahi sana kuona watoto wake tukimsifu kwa nyimbo na vinanda.


Wewe uliyekosa kushiriki ibada hii na hukuweza kushirki kipindi cha sifa, tunakukaribisha katika ibada ya Jumapili hii katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana.

Joybringers Kwaya







Comments