RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

24.12.2017: MH. BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE AKIWABARIKI WAUMINI SIKU YA MKESHA WA KRISMASI

Katika mkesha wa KRISMASI uliofanyika usiku wa Jumapili 24.12.2017, Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare aliweza kuwawekea mikono ya baraka kwa waumini wote waliofika katika kusherekea siku ya kuzaliwa Mwokozi wetu Yesu Kristo (KRISMASI). Sherehe hii ilifanyika usiku wa kuamkia Krismasi katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Watu kutoka kila kona ya jiji la dar es Salaam na mikoa mbalimbali walifika kwaajili ya kupokea baraka za Bwana za Krismasi na kusherekea siku ya kuzaliwa Yesu Kristo

Wewe uliyekosa baraka hizi na wewe ambaye ulibahatika kuwekewa mikono, tunakualika katika ibada ya Jumapili hii hapa Mlima wa Moto Mikocheni "B". Ibada itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Siku hii utaombewa, utaongozwa sala ya toba, utabatizwa, utafundishwa Neno la Mungu, utafunguliwa katika vifungo vya shetani n.k. Wahi mapema.
Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare akiwabariki waumini siku ya mkesha wa Krismasi



























Comments