RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

24.12.2017: WATU WALIVYOMUABUDU MUNGU KATIKA MAANDALIZI YA MKESHA WA KRISMASI MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Hivi ndivyo watu walivyomuabudu Mungu katika ibada ya maandalizi ya mkesha wa KRISMASI iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 24.12.2017. Kipindi hiki kiliongozwa na mzee wa kanisa Martha Komanya pamoja na Praise and Worship Team katika uimbaji.
Tunakukaribisha wewe ambaye ulikosa ibada hii. Jumapili hii ibada itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Usikose kukutana na mkono wa Mungu utakaokuokoa katika mateso unayopitia. Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na jopo la wachungaji wamejipanga kukuhudumia kiroho na kuinua imani yako katika viwango vingine. Ni siku ya kupokea muujiza wako na baraka tele kutoka kwa Mungu kama utaamini na kuchukua hatua za kufika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" Jumapili. Hii. Wengi wanafunguliwa na kupokea majibu yao kupitia ibada za kanisani hapa.




































Comments