RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

25.12.2017: KAMPUNI YA COCA COLA YAGAWA SODA ZA BURE KATIKA MKESHA WA KRISMASI MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Kampuni ya Coca Cola usiku wa Krismasi iliweza kugawa soda kwa waumini wote wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" katika mkesha wa Krismasi uliyofanyika siku ya Jumapili kuamkia siku ya Jumatatu ya Krismasi 25.12.2017. Kanisa liliandaa vyakula kwa kila mmoja aliyefika katika mkesha mkubwa ya kusherekea siku ya kuzaliwa Mwokozi Yesu Kristo.

Tunakukaribisha Jumapili hii katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Ibada yetu itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Mungu na akubariki sana.

 Mzee wa kanisa Rogathe Buhatwa (kushoto) na Mch. Alex Mapanga























Comments